LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 28, 2014

PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA DR. KIPOR

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika mazishi ya Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, nyubani kwa Marehemu, Mbezi Marambo Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waomboleaji wakiwa  wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dr, Irenius Joseph Kapiri, katika mazishi  yaliyofanyika nyubani kwa Marehemu,  Mbezi Marambo Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwili wa  aliyekuwa Mhadhili wa zamani wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Tumaini, Dk. Irenius Joseph Kapiri, ukitemswa kaburini katika mazishi  yaliyofanyika  nyubani kwa Marehemu,  Mbezi Marambo Mawili jijini Dar es salaam Julai 28, 2014. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages