LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 17, 2014

MKUTANO WA 8 WA BARAZA LA BIASHARA ZBC


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko  Nassor  Ahmed   Mazrui wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC).[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali  wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) .[Picha na Ikulu.]
 Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali waliohudhuria katika mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika  Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja (kushoto)  Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko  Nassor  Ahmed   Mazrui na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee(kulia).[Picha na Ikulu.]

Mfanyabiashara Dr.Salim Nassor alipokuwa akizungumzia suala la Soko kwa wafugaji wakati wa Mkutano wa 8 wa  Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages