LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 7, 2016

VIDEO:RAIS MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 39 YA CCM SINGIDA JANA


1 comment:

  1. Hongera Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, uongozi kitaifa na ngazi zote pamoja na wanachama wote bara na visiwani, kwa kusherehekea miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM. Uteuzi wa wagombea pamoja na Uchaguzi wa mkuu wa rais, wabunge, na madiwani vimesaidia sana kuweka bayana mapungufu, udhaifu, udhoefu, nguvu za chama na maadui wa chama ndani na nje ya chama. Sasa huu ndio wakati mzuri wakujivua na kulitupa gamba. Gamba la rushwa, uvivu, ufisadi na usaliti. Hongera Mweshimiwa Rais - JPM kwa kazi na Kasi nzuri. - CCM - KAZI KWA KASI

    ReplyDelete

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages